Matokeo ya darasa la saba 2010 shule binafsi zafanya kweli ...
Jan 22, 2020·SHULE ya kimataifa ya Soutthern Highland Mufindi na Brokebond zafanya vizuri mtihani wa taifa wa darasa la saba mwaka 2010 katika mkoa wa Iringa na kuzipita kwa mbali shule za msingi zinazosimamiwa na serikali huku mapacha walioungana kiwili wili wa Makete wakifanya maajabu makubwa ya ufaulu.